Upigaji huo ulikumbwa na changamoto ya kuongezeka kwa wapiga kura baada ya kuhesabu ambapo awali walikuwa wajumbe 548 lakini baada ya kuhesabu kura zikaonekana 560 na kulazimu zoezi hilo kurudiwa.
Kutokana na tatizo hilo wameshauriana kurudia upya ambapo wamefunga milango ya ukumbi na kurudia kuhesabu na kupiga upya ambapo katibu wa bunge la kawaida THOMAS KASHILILA ndiye katibu wa bunge hilo maalumu na sasa mchakato unaendelea.
Wagombea ni Pandu kificho, Profesa Maalu na mwanamama ambaye jina tutakuletea katika taarifa kamili.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment