Ni katika uchaguzi uliorudiwa kutokana na kuzidi kwa wapiga kura kutokana na hesabu ya mwanzo.
Abdalah Pandu amechaguliwa kwa kura 363 kati ya kura 568 na kuwashinda Magdalena Rwebangira aliyepata nafasi ya pili na Profesa Costa Maalu waliopata kura 80.
Baada ya kuteuliwa kwake Pandu ameahirisha bunge hilo hadi jumatatu feb24.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment