MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 24 February 2014

BREACKING!!! WATU WAFA MAJI BUKOBA


-Taarifa za sasa zinasema watu watatu kati hao wamenusurika na majina yao ni MERENSIANA (32)mkaazi wa Kagondo manispaa ya Bukoba, BAHATI GELVAZ (18) mkaazi wa Musira, na ALIS BENEDICT (17) mkaazi wa Kamachumu.

Ni abiria waliokuwa kwenye mtumbwi kutokea Bukoba mjini kelekea kisiwa cha Musira, ambapo taarifa za awali zinasema kuwa walikuwa saba kwenye mtumbwi huo na wanne tayari wameopolewa wakiwawamekufa na mmoja hajapatikana.

Mashuuda wanasema kuwa mama mmoja aliyekuwa na mumewe aliyetambuliwa kama Juliet ameopolewa akiwa hai lkn jitihada za wavuvi kukoka moto ili wengine waliozama waonekane ulikuwa ni muda uliosababisha mama huyo kufariki

Miili ya marehemu inapelekwa hospitai ya rufaa Bukoba kwa utambuzi na kuhifadhiwa.

Bado tunaendelea kukuletea zaidi
MWANA HARAKATI

No comments: