Rais Museven wa Uganda, amesaini muswada muda fupi katika ikulu ya Entebe nchini Uganda, unaotaka kuchukuliwa hatua kali kwa mashoga.
Amesaini muswada huo unaotaka kuwahukum adhabu kali wanofanya mapenzi hayo, na wanaotetea ndoa za jinsi moja.
Kupitia vyombo vya habari, Desmond Tutu amemsihi Museven kuachana na kupiyisha muswada huo.
Tutakuletea undani wa habari hiyo.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment