Uganda's president has signed into law a bill toughening
penalties for gay people and criminalising those who do not report them. Rais wa Uganda Yoweri Museveni
ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana
wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.
Rais Museveni alitia saini mswada
huo nyumbani kwake katika hafla iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa serikali
pamoja na wandishi wa habari.
Mswada huo ambao sasa utakuwa
sheria, unatoa adhabu ya kifungo cha miaka 14 jela kwa wale watakaopatikana na
hatia kwa mara ya kwanza,
Adhabu ya maisha jela itatolea kwa
watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja zaidi ya mara
moja kati ya watu wawili waliokubaliana kufanya hivyo.
Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale
wanaopatikana na hatia ya kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au
kumuambikiza mtu virusi vya Ukimwi.
Mswada huo umepigiwa debe sana
nchini Uganda, lakini mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu
yameulaani.
A government spokesman said President Yoweri Museveni wanted to assert
Uganda's "independence in the face of Western pressure".US President Barack Obama has cautioned the bill would be a backward step.
Mr Museveni had previously agreed to put the bill on hold pending US scientific advice.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment