MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 5 February 2014

BREAKING NEWS!!!AJALI YA BASI YAUA 2 NA KUJERUHI 40 SINGIDA

Imetokea mchana huu ikihusisha basi la kampuni ya ZUBER ikifanya safari kutoka Mwanza to Dar ambapo taarifa za awali zinasema majeruhi wanakimbizwa hospitali na hakujathibitishwa vifo kutokea au lah.

Basi hilo scania nambari T119 AZZ inasemekana limepata ajali  katika barabara ya Singida-Dodoma eneo la Isuna mkoani Singida, wakati dereva akijaribu kumkwepa bibi kizee aliyekuwa akitembea kwa miguu.

Watu wawili wamefariki na wengine40 kujeruhiwa ambapo daktari wa hospital mkoani humo amesema wanne kati hao hali zao ni mbaya baada ya kusagika mikono.

MWANA HARAKATI

No comments: