
Wakati wa uzinduzi wa choo hiyo, Balozi Kagasheki amewataka wananchi kupaza sautu zao kwa viongozi, ili kero zao ziweze kutatuliwa, kuliko kukaa kimya na kuwata kuwaunga mkono viongozi wanaowapigania katika kuleta maendeleo.
Picha juu ni Mbunge akikagua ndani ya choo hicho ambacho kimeanza kutumika, na chini ni shule ya msingi Kashabo ambayo ina jumla ya wanafunzi 402 hadi sasa.
Shule ya msingi Kashabo, ina walimu saba ambapo wawili wa kiume na watano wa kike na wanatumia chumba kimoja cha darasa ilihali wakikabiliwa na upungufu wa vyumba 3 vya madarasa na choo cha walimu.
MWANA HARAKATI




No comments:
Post a Comment