
Wamesema kwa siku wanaingiza kiasi kikubwa cha pesa na wakati huo eneo hilo linasaiaidia wananchi wengi wa kanda ya ziwa hivyo ni lazima fungu kubwa litumike kufanya matunzo ya maji ya eneo hilo.
Mwaka jana magugu maji yalionekana asubuhi yakiwa yametanda eneo zima la maji upande wa kutokea mwanza, ambapo huduma ilisitishwa kwa zaidi ya saa 48, ambapo wasafiri walikumbana na adha kubwa lakini hatahivyo walipata hasara ya kutoingiza chochote. alieleza mmoja wa watoza ushuru.
MWANA HARAKATI


No comments:
Post a Comment