Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini
Dodoma na kuwaambia wana CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache
unyonge.
Mjumbe wa NEC Ndugu Bernard Membe akijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC na Martine Shigela kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
MWANA HARAKATI



No comments:
Post a Comment