MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 1 March 2014

MAZISHI YA PROFESA KAZAURA

Mazishi hayo yatafanyika baada ya rais Kikwete kuwasili uwanja wa ndege Bukoba na kuelekea moja kwa moja Kiziba.

Tupo katika maandalizi ya kuelekea Bugandika Kiziba, katika mazishi ya Porfesa Kazaura huko wilayani Misenyi, lakini kwanza tutampokea rais ambaye wananchi wakiwamo viongozi mbalimbali wamejiandaa kumpokea.

MWANA HARAKATI

1 comment:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

was he a professor? kweli ni profesa kazaura? ana doctorate?