
Juu ni jeneza likishushwa kaburini, chini ni Rais Kikwete akiweka udongo kaburini.

Picha juu ni Rais Kikwete akiweka SHADA la maua, na chini ni Baba askofu Kilaini akiweka shada la maua.

Juu ni Mh. Edward Lowasa na chini Baba Askofu Kilaini akiombea mwili ndani ya jeneza ukiwa juu ya kaburi.
Rais Kikwete akifuatilia kwa karibu kushoto kwake ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi na anafuatia Edward Lowasa, na mh mwenyekiti CCM mkoani Kagera Nyamwiza Buhie.







No comments:
Post a Comment