Ni mvua iliyonyesha mfululizo ikisemwa kuwa ni mafuriko ambayo imesababisha maelfu ya watu kukimbia makaazi yao na wengine hawajulikani walipo lakini watu zaidi ya hamsini wakiripotiwa kufariki dunia.
Mvua hiyo imenyesha mashariki mwa Burundi ambapo leo ni maombolezo bendera zinapepea nusu mlingoti kuomboleza vifo vya waanga.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment