Taarifa ilizozipata kandayaziwa hata kabla ya kuwekwa kwa ILANI hiyo, ni kwamba watu wamekuwa wakipelekana wakiwa wawili au zaidi kwenye magari na kufanya vitendo visivyofaa, na kikubwa zaidi maeneo hayo yamekuwa na matukio ya utekaji kwa watembea kwa mguu.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment