MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 11 February 2014

SIRI ZA FICHUKA KUHUSU NJAMA ZA KUWAGAWA WANANCHI BUKOBA

 Wakizungumza kwa machungu makubwa wananchi wamesema kuwa wamekuwa wakinyanyaswa hasa wale wanaojulikana wapo upande gani lakini wakisema kwa magfumbo huku wakisisitiza kujuana kupitia vyama vya siasa.
 Juu mama muuzaji sokoni akilalamikia wakaguzi wa usafi, na chini mzee akisisitiza kuwa mbunge asikate tamaa wako pamoja naye.

 Picha juu Balozi akisikitika kusikia malalamiko ya wananchi wanaofungiwa huduma za kuchota maji hadi washirikiane na wengine wenye mtazamo wa kundi fulani, na chini akipitia ripoti inayodaiwa kutumwa ikulu na mwananchi mmoja ambaye anasema mbunge aifanyie kazi.
MWANA HARAKATI

No comments: