MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 31 March 2014

BREAKING NEWS!!!WATU8 WANAOFIWA KUFA MAJI RUFIJI

Imetokea jana sa11 jioni baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kugongana na Panton katika mto Rufiji ambapo taarifa hiyo imethibitishwa na mkuu wa wilaya NURDIN BABU.

Amesema kuwa mtumbwi huo ulikuwa na watu 18 ambao wanane wameokolewa na wengine 8 hawajulikani walipo na akasisitiza kuwa wenyeji wamemuambia kuwa mtu akizama katika maeneo yale ni mpaka wasubiri muda mwinhine kma ule ili waibuke wenyewe.
Na Mwanaharakati.

No comments: