 |
Mganga mfawidhi wa kituo Kyamalange Kigati, Bi THEODOLA KAMUGUMYA |
Ni kituo kinachokabiliwa na uhaba wa vitendea kazi, kina kitanda kimoja na uhaba wa vyumba, sambamba na ukosefu wa vitanda kituo hicho kimechakaa na kinakosa vifaa vya kutolea huduma ambapo maji hayapo na wakina mama wakijifungua wanalazimika kwenda nyumbani na nguo zao, ilhali jengo limechakaa na kuna wahudumu watatu na mganga mmoja.
 |
Kitanda a,bacho ni cha wazazi kujifungulia na mvua ikinyesha kinalowa maji |
 |
Kitanda kinachotumika kupima weagonjwa |
 |
Hapa ni dari la ofisi ya mganga mkuu |
Chumba wanachojifungulia na kitanda hicho, ndipo wanapumzisha wagonjwa mahututi, ndipo wanapimia magonjwa ya kaswende na ukimwi, ambapo wananchi walijitolea kuweka matofali na mawe ila hadi sasa hakuna jitihada za serikali kuendelea kwani halmashauri wanatoa ahadi zisizotimiliza.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment