Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya
vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuskaTukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi
Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na
Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.
![]() |
| Burudani baada ya kukolea, hali ilikuwa hivi. |
![]() |
| Husna Idd ‘Sajent’ naye akionyesha machejo yake. |
![]() |
|
|
Ndani ya ukumbi huo zilishuhudia laana za aina
yake ambazo zilikuwa zikiongozwa na mwenye shughuli ambaye alikuwa akikata
mauno ya ajabu kwa staili ya ‘baba na mama’ chumbani.
Na Mwanaharakati.



No comments:
Post a Comment