 |
| Migomba yenye ndizi changa ikiwa imeanguka inavyoonekana kwenye picha. |
Camera yetu imetembelea kata ya Bakoba katika mitaa ya Bunena na kujionea hali ilivyo baada ya kuanguka migomba na wananchi wakiendelea kukata baadhi iliyoangukia mazao mengine na baadhi ya maeneo ya ya Kashenye taarifa zinasema kuna nyumba zimeezuka na upepo usiku huu. Fuatilia picha hapa chini.

 |
| Ni mzee James mkaazi wa Bunena akiendelea kukata migomba iliyoanguka huku akisema kuwa anahofia wakaazi walio kwenye mabonde kulinagana na kiasi cha mvua ya leo kuwa kimemstua. |
 |
| Binti wa kazi wa Bi Judith Ngelema akikusanya ndizi zenye uafadhali wa kumenyeka waone kama watazitumia kwa chakula. |
 |
| Mzee James mkaaazi wa Bunena |

Picha juu ni moja ya shamba katika mtaa wa Kashenye, kwa mujibu wa mwenyekiti wa mtaa Kafuti mvua hiyo imesababisha migomba na mazao mengine pembezoni mwa manispaa ya Bukoba kuanguka, ambapo nyumba moja katika mtaa wa Kashenye imeezuka na taarifa zaidi kuhusu mahafa zitaendelea kutolewa kadri zinavyopatikana.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment