![]() |
| Ni kijana mwenye umri wa miaka 24 akijihusisha na biashara ndogondogo hapo Gera Kiziba wilayani Misenyi ambapo kwa siku anaingiza sh elfu 20 na anaomba uwezeshwaji zaidi kama kijana kubwa anasema viongozi wa huko wanawatenga wananchi wao ila wasubiri 2015. |
![]() |
| Aliyeshika mfukoni ni mmoja wa viajana anayejishughulisha na kuziba madumu akizunguka nyumba kwa nyumba kutafuta wateja huko Katare Gera wilayani Misenyi. |
![]() |
| Vijana wanaofanya useremala katika maeneo ya kata ambapo wamesema kuwa kauli ya kujitokeza kwa tatizo akatupiwa kijana lawama haikubaliki. |
![]() |
| Katika mazungumzo yao, wanasema uchaguzi wa 2010 kwa mbunge diwani na wenyeviti, walitoa milango wakaweka pazia. |




No comments:
Post a Comment