MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 22 March 2014

WENYEKITI WA UPINZANI WATOA KAULI YA KUPINGA HOTUBA YAR RAIS KIKWETE

Wenyeviti wa vyama vya upinzani vya NCCR MAGEUZI James Mbatia, CHADEMA Freeman Mbowe, CUF Ibrahim Lipumba, wamekutana jana usiku kupinga hotuba hyo iliyotolewa na rais atika ukumbi maalum wa bunge a katiba.

Wamesema kuwa wameamua kutoa kauli ya pamoja kutokana na hotuba y rais Kikwete inayoonekana kuvuruga mchakato mzima wa kuipata katiba mpya, kwa kuingilia masuala ambayo hakupaswakuyatolea matamko kama kiongozi wa nchi na kuwafanya wananchi kuona kama anawaelekeza cha kufanya.

Wakati hao wakikutana, mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji Christoper Mtikila amesem kuwa Kikwete ameingilia kazi isiyo yakwake kwakutoa maelekezo jinsi kuanika katiba.

Katika hotuba yake, rais alionesha kupingana na baadh ya masuala katika rsimu km serikali tatu na komo wa wabunge.

Na Mwanaharakati.

No comments: