Taarfa tuliyopata, inaeleza kuwa msichana mwenye umri wa miaka 19 namzaliwa wanchini Ghana, anadaiwa kushuudiwa akitapika misumari, vioo, vipande vya chuma na mayai na kuwashangaza wananchi walioshuudia tukio hilo.
Msichana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa inasemekana alitoweka nyumbani kwao kwa muda wawiki moja mwezi januari, alipopatikana alikutwa akitapika vitu hivyo na kumfanya kuonrkana wa ajabu katika jamii.
Tunaendeleakufuatilia hali yake kupitia IREPORTERS TV. COM endelea kufuatilia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment