MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 22 March 2014

WATU 9 WAFA KWA AJALI BAADA YA BASI KUGONGWA NA TREIN

Ni baada ya treni kuligonga basi lililokuwa limewabeba wafanyakazi wakielekea kazini kwao, ambapo watano wamejeruhiwa vibaya katika ajali hiyo nchini UTURUKI.

Basi lomehongwa wakati likivuka reli kuwapeleka wafanyakazi katika eneo la  viwanda mjini Mersin.

Taarifa zinaonesha kiwa watatu kati ya majeruhi watano hali zao ni mbaya na waliokufa wote walikuwa ndani ya nasi lenye namba 1104
Na Mwanaharakati.

No comments: