 |
Waandishi wa habari wa msikiliza mtaalamu akitoa maelezo jinsi ya kutumia Power tiller hiyo ya kupandia mpunga. |
 |
Mkuu wa mkoa wa Kagera akiakagua moja ya Powertiller ya kulimia. |
 |
Mtaalamu akifa majaribio ya Power tiller hiyo. |
Power tiller hizo zilizotolewa kupitia mradi wa DASIP tangu mwaka 2006, ni powertiller 1 kwa Ngara, biharamulo, Muleba na Misenyi, Rice planter kwa Muleba, Misenyi na Biharamulo, makasha ya kutunzia fedha zimetolewa 3 kila halmashauri za Bukoba, Ngara, Karagwe, Misenyi, Biharamulo na Muleba.
Hatahivyo imetolewa Kompyuta moja kila halmashauri zilizopata vifaa hivyo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment