MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 March 2014

BREAKINGNEWS!!!ATEULIWA KUWA MKUU WA MAJESHI

Ni Sedki Sobhi ambaye amteuliwa baada ya Abd Fatah El Sis kujiuzulu ili agombee urais nchini Misri.

Rais wa mpito Adry Mansour amethibitisha kuteuliwa kwa Sedki kushika wadhifa huo baada ya kikao cha kamati kilichomaliza kazi ya kuteua.

Akiwa mkuu wa majeshi mwezi july mwaka jana, sisi aliyefikia cheo Fieldmashal aliongoza mapinduzi ya kumwondosha madarakani aliyekuwa rais na kiongozi wa vuguvugu la Muslim brotherwood Mohammed Mors.

Na Mwanaharakati.

No comments: