Ni katika ajali iliyotokea jana katika barabara ya Kyqka Bugene baada ya Hiace aliyokuwa akisaforia kugongana na gari la kampuni yq ujenzi wa barabara kutoka China ambapo inasemekqna ni katika sehemu ya daraja la mwisho.
Mkurugenzi wa kituo cha redio FARECO bwana SEKIKU alichokuwa akifanyia kazi mtangazaji huyo Chrosper Masome almaarufu DJ5, amethibitisha kutokea kifo hicho na kusemq kuwa marehemu ameacha mjane na watoto watatu akiwamo wa chini ya mwaka mmoja.
Alikuwa safarini kuelelea Morogoro katika semina ya waandishihabari juu ya haki za binadamu
Mungu ametoa na ametwaa jina lake libarikiwe JAH RASTERFARIE!!!
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment