Taarifa zinsonesha CCM kuwa na kura 451 chadema kura 261 CHAUSTA 2 katikakata 13 za jimbo hilo ambazo kata 11 ccm inaongoza ka hizo.
Tazama mchanganuo kwaufupi, kata Nzi kituo TANROADS CCM 142 CAHDEMA 26 na CHAUSTA 0, Ktuo ofisni A CCM 116 CDM 2, Kituo ofisini B CCM kura 112 CHADEMA 34 CHAUSTA 1, na katika kituo cja Nzi B CCM 137 CHADEMA 37 na CHAUSTA kura 3.
Endelea kufuatiloa hapahapa mtazamaji.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment