1841 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya kuhutubia katika
maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye viwanja wa Nyerere
mjini Dodoma Machi 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1924 Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiagana na baadhi ya viongozi baada ya kuhutubia katika
maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo kwneye viwanja vya
Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dr.
Kebwe Stephen Kebwe na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwanasheria Mkuu wa serikali
na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Figo, Jaji Frederick Werema. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment