MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 13 March 2014

TAARIFA YA AWALI KUHUSU NDEGE WENYE SUMU BUKOBA; BOFYA VIDEO KUPATA UNDANI

 
BOFYA VIDEO JUU KUSIKILIZA MWAKILISHI WA DC NA BALOZI KAGASHEKI
Hii ni taarifa iliyotolewa baada ya kufanyika mahojiano kati yangu na wananchi wa Musira, pamoja na wataalamu wa maisha ya visiwani ambao wana historia katika visiwa vya ziwa Victoria, bofya video kusikiliza wanasemaje.
 
BOFYA VIDEO JUU KUSIKILIZA WANANCHI WA MUSIRA
Katika mahojiano yangu na wananchi, wamesema kuwa ndege hao wamehama kutoka kisiwa fulani kutokana na wananchi kuhamia katika visiwa walikokuwa wanaishi, je wataelekea mjini Bukoba?

Endelea kufuatilia kupitia hapa kwani leo ni siku ya mwisho ya wataalamu waliotumwa kuchunguza.
Na Mwanaharakati.

No comments: