
![]() |
Ni muuguzi mkuu wilayani Muleba akizungumza na nami Mac Ngaiza. |
![]() |
Wakina mama wenye watoto wakionekana kwenye picha juu na chini. |
Kwa mujibu wa daktari wa wilaya JOSEPH KISALA hakuypo pichani, tatizo la kuolewa mapema linatokana na ukosefu wa elimu kwani watoto wengi hawaedi shule na hivyo kujikuta wakiolewa na vijana pia lakini wengine wanaolewa na watu wazima lakini pia mila potofu zinachangia.
Bado tunafuatilia kujua undani wa tatizo hili wilayani Muleba, katika kata za Bisheme na Mubunda.
No comments:
Post a Comment