MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 16 April 2014

ALIVYOZIKWA MZEE GURUMO

Mwili wa marehemu Gurumo ukishushwa kaburini.
Waombolezaji wakiwa kaburini tayari kuupokea mwili wa Gurumo na kuuhifadhi, mwenye nguo nyeupe ni mzee Said Mabela.
Waombolezaji wakifukia kaburi la Gurumo huko Masaki, Kisarawe mkoani Pwani.
Na Mwanaharakati.

No comments: