Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la ALAN aliyekuwa
darasa la nne katika manispaa ya Bukoba mta wa Buyekera, amekutwa amejinyonga
nyumbani kwao buyekera.
Kutokana
na tukio hilo, polisi walifika na kufanya hatua za mwanzo na kuondoka na mwili
wa marehemu kwa uchunguzi zaidi wa tukio hilo la kusikitisha, ambapo harakati
imetafuta uongozi usiku huu na kufanikiwa kuongea na mwenyekiti wa mtaa
Buyekera Bwana Kamugisha na kueleza kuwa maiti imechukuliwa na polisi kwa
uchunguzi zaidi
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment