MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 23 April 2014

BREAKING NEWS!!! WATU 40 WAJERUHIWA KWA AJALI JIONI HII

Taarifa zilizotufikia punde zinasema kuwa watu walikuwa kwenye basi la Urio linalofanya safari zake kati ya Arusha-Tanga-Rushoto.

Ajali hiyo imetokea saa 10 jioni wakati basi la Urio likikwepa gari jingine katika makutano ya barabara ya uwanja wa ndege wa kimataifa KIA
katika barabara ya Mosji -Arusha karinu na ktuo kimoja cha mafuta.

Endelea kufuatilia mtandao huu kupata taarifa rasmi kama kuna vifo na hali za majeruhi.
Na Mwanaharakati.

No comments: