
DJ ALEX, Da Wolf, Baba Rachel, The Turntable
Witch, Our real Neccah, alikufa kwa ajali ya basi la Luhuye mkoani Simiyu,
ambapo alikuwa Dj na mtangazaji wa Metro fm Mwanza.
Alikuwa akifanya kipindi cha Hot mixing ambapo
sauti za waombolezaji zimesikika zikisema “Hautorudi Tena, sintosikia wala
kukuona akifanya Hot Mixings”
Sintokusikia tena ukiniambia Niache UKUKU na
nipige Kazi....ni mmoja wa wafanyakazi wa Metro.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment