
Kutokana na msiba huo uongozi
unapenda kutoa taarifa kuwa Show ya Escape One iliyokuwa ifanyike Alhamis ya
April 17 imeahirishwa hata hivyo uongozi unasikitika kumpoteza msanii huyo
ambaye alikuwa ni kiungo muhimu wa bendi na inaungana na familia ya marehemu
Chiri Challa kuomboleza kifo cha mpendwa wao na inatoa pole kwa familia na
mashabiki wa Skylight Band na wapo bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu.
Msiba na shughuli za mazishi
zinafanyika maeneo ya Mwanyamala Ujiji mtaa wa Mpunga.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment