![]() |
Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduli iliyokamtwa pamoja na meno ya Tembo. |
Taarifa
zinasema kuwa men ohayo na silaha vilikamatwa katika kituo cha Kikosi dhidi ya
Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya ya
Manyoni Mkoani Singida juzi, katika Vijiji vya Kiyombo Wilaya ya Sikonge Mkoani
Tabora na Kijiji cha Chinangali Wiliayani Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment