MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 20 April 2014

UKAWA UMEKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Ni mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba aliyeshika Mic
Mwenyekiti wa  CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari sababu za kutoka katika bunge maalum la katiba Tanzania, na hapa akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
Baadhi wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa UKAWA waliotoka katika Kikao cha Bunge hilo wakiwa katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar wakizungumza na waandishi wa habari.
Na Mwanaharakati.

No comments: