MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 20 April 2014

BREAKING NEWS!!! DC KALAMBO AFARIKI DUNIA

Ni mheshimiwa Idd Moshi Chang'a, ambaye amefariki mchana wa leo katika hospitali ya Muhimbili Dar es salaam.

Aliwahi kuwa mkuu wa wilaya Bukoba, Mbeya na amemalizia Tabora.

Tutaendelea kukuletea undani wake.

Na Mwanaharakati.

No comments: