Ipo katika hatua za mwisho kuanza kazi, baada ya kupitia taratibu mbalimbali za kisheria, hivyo usisite kukutana na magwiji katika masuala ya Habari.
Kwa mkoa wa Kagera fika ofisi ya waandishi wa habari KPC Bohari kuu ya mkoa karibu na kituo kikuu cha Polisi, utapata maelekezo. Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment