Mkurugenzi wa habari maelezo |
HIVYO BASI TUNAOMBA ORODHA YA WAANDISHI WAKO NA WAPIGA
PICHA WAKO WATAKAOSHIRIKI KURIPOTI TUKIO ZIMA KUANZIA MWANZO HADI MWISHO WA
BUNGE HILO. TAFADHALI LETE MAJINA YA WAANDISHI WAKO MAANA BAADA YA KUPELEKWA
HAKUTAKUWA NA NAFASI YA KUONGEZA.
VITU VINAVYOTAKIWA;-
1. AWE NA PRESS CARD 2014
2. MAJINA YAJE KATIKA BARUA RASMI.
3. MAJINA YALETWE KABLA YA SAA
6.00 MCHANA 30.5.2014
UTAWALA- MAELEZO
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment