
Wageni zaidi ya 700 wanarajiwa kuudhuria uzinduzi huo kutoka ndani na nje ya nchi, wakiwamo mabalozi, mawaziri, wabunge na wengineo.
Hatahivyo
maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa, ambapo pamoja na mambo mengine,
michango inayotolewa na wadau kutoka sehemu mbalimbali nchini inaendelea
kupokelewa.
Pamoja na mazoezi ya Alaiki kuendelea uwanjani Kaitaba, wakufunzi wameomba uwanja huo kufanyiwa marekebisho, kutonana na kujaa maji katika baadhi ya maeneo wakati wa mvua na kusababisha mazoezi hayo kutofanyika inavyotakiwa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment