MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 8 May 2014

BALOZI KAGASHEKI AISHUKIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUTOTATUA MGOGORO MANISPAA YA BUKOBA

Amesema kuwa anasikitishwa kuona inatengenezwa bajeti na kupitishwa isiyohusisha vikao vya waheshimiwa madiwani, na kusisitiza kuwa serikali itaonekana haiwatendei haki wananchi, kwa kutotoa maamuzi sahihi yanayoweza kuruhusu shughuli za msingi na miradi ya maendeleo kufanyika.

Ameongeza kuwa ni miezi mitano tangu CAG atoe taarifa yake kuhusu ubadhilifu wa miradi ndani ya manispaa hiyo, lakini hadi sasa hakuna maelezo sahihi na maamuzi ya msingi kuhusu walituhumiwa kuhusika na ubadhilifu huo.
Na Mwanaharakati.

No comments: