Ajali hiyo imetokea asubuhi hii mkoani Mara katika daraja la Kirumi mpakani mwa Rorya na Butiama.
Ni la kisambaza magazeti ya mwananchi ambapo taarifa za awali zinasema gari hiyo imesababisha kifo baada ya kugonga.
Endelea kufuatilia tutakuletea undani.
No comments:
Post a Comment