![]() |
| Katikati ni Bwana Edward Bnadana akionesha cheti chake na hundi ya sh lakini tatu |
Taarifa iliyotolewa na naibu waziri wa afya Dk Stephen Kebwe, mapema mwaka huu, ilisema kuwa hamashuri ya Bukoba, ni pili kwa utunzaji mzuri wa dawa kuwa haziibiwi na kuzagaa sana katika maduka binafis ya kuuzia dawa, akisema kuwa ya kwanza ni Karawe kwa utunzaji wa dawa za serikali mkoani Kagera.
Katika taarifa hiyo, Dk Kebwe alisema kuwa wilaya inayoongoza kwa wizi wa dawa za serikali ni Ngara, ambavyo alisisitiza mkuu wa mkoa pamoja na kamati yake ya ulinzi na usalama kuthibiti hali hiyo kabla taifa halijaingilia kati.
![]() |
| Naibu waziri Kebwe Stephen Kebwe. |
![]() |
| Bohari ya dawa iliyozinduliwa Muleba, kwaajili ya mikoa ya Kagera na Geita |
![]() |
| Dk Kebwe akizindua Bohari ya dawa wilayani Muleba mkoani Kagera. |






No comments:
Post a Comment