Msanii wa kizazi kipya nchini Nasib Ramadhani AKA Platinum's, anaongoza katika upigaji kura za tuzo ya BET 2014, ambapo hadi leo amekuwa akiongoza kwenye kundi lake kwa 75.79% ya kura zote.
Anafuatiwa na Mafikizolo wa Afrika kusini wenye 8.34%, Davido wa Nigeria 5.15%, Tiwa Savage Nigeria 4.75%, Sarkodie Ghana 3.33% na Toofag wa Togo mwenye 2.63%
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment