MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 19 May 2014

SHUGHULI ZA WAZRI MKUU PINDA HUKO DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu  zao la zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na ujumbe  wa Kampuni ya  British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2014.Kulia kwake ni  Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Na Mwanaharakati.

No comments: