
Mpiga picha mkongwe wa Televisheni,
Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia Jana, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar
es salaam.
Habari zilizothibitishwa na ndugu wa
karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini
Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe ya maziko itatangazwa
baadae.
Marehemu amewahi kufanyia kazi vituo
kadhaa vya televisheni nchini, vikiwemo vya Star TV na Mlimani TV ambako ndiko
alikuwa hadi kifo kinamkuta.
No comments:
Post a Comment