“Huenda wana maslahi yao kuamua kulitumia jina la
mwanangu, siwezi kuwazuia lakini watambue kuwa wanakosea sana kwa kufanya hivyo
bila kunishirikisha mimi baba yake,” alisema baba Kanumba.
![]() |
| Mama Kanumba akihojiana na Mac Ngaiza muda mfupi baada ya kifo cha mwanae |
![]() |
| Baba na mwana Kanumba enzi hizo |
BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amemshutumu mzazi mwenziye, Flora Mtegoha, kuwa amekuwa na tabia endelevu ya kumtenga kwenye shughuli za mwanaye.
Alisema anamshangaa mama huyo kumtenga mara kwa mara katika ishu za marehemu mwanaye ambapo alitolea mfano wa maadhimisho ya miaka miwili ya kifo cha mwanaye (Kanumba Day) yaliyofanyika hivi karibuni.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment