MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 3 May 2014

NEWS ALERT!!! MFANYAKAZI WA IKULU ALIYEFIA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR AZIKWA KISARAWE

Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake, aliyefariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi
Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
Na Mwanaharakati.

No comments: