Salsa ni namba 09 Ashrafu Abdalah
Taarabu ni namba 13 Zurfa Omary
Pop ni namba 33 Deus Boniphace
Twist namba 22 Nasibu Oza
Ni mashindano yaliyoandaliwa kwa ushirika wa TBC na kusimamaiwa na majaji wane, akiwamo Ras
Innocent Nganyagwa, Mark Manji, Edina Leo na George Mbata.
Shilingi milio 50 zilikuwa zikishindaniwa tangu kuanza kwa
harakati za kutafuta washindani mwishoni mwa mwaka jana, ambapo mitindo mitano
imeshindaniwa na kila mshindi amenyakua milioni 10, baada ya kukabidhiwa hudi
zao na mkurugenzi mtendaji wa TBC Clement Mshana.
Washereheshaji walikuwa ni Manju wa muziki Maoud Masoud na
Mariam Migomba.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment