MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday 22 May 2014

WABUNGE WA UGANDA WAMUHOJI WAZIRI MKUU PINDA

Ni baada ya wabunge hao kutembelea ofisi ya waziri mkuu mjini Dodoma, kujua kazi za serikali bungeni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Mei  21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la Uganda, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. Kutoka kushoto ni Ssentongo Theopista Nabulya, Mchambuzi wa Masuala ya Sera wa Bunge la Uganda (Policy Anallyst , Parliament of Uganda) na Dr.  Chris Baryomunsi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.

No comments: